
crazy mumy brandon picha hadi toilet

Julieth niliamua nijiachie na color blocking juu mpaka chini

Nancy anapenda mnyama balaa

i luv my sister nancy,nizaidi ya dada sijui nimwite jina gani she is more blessed.

hapa nilishakuwa keroro nancy akafa mbavu
Awilo na crew yake.
show ilikuwa balaa watu wengi mno.
Nancy mzuka umepanda
short pant ya kitenge ndani ya nyumba

nancy,mumy trend-fashion-today,eric.

mumy trend-fashion-today,linda ,nancy tayari kwenda kwa awilo

my hubby Alain,nancy,mumy trend-fashion-today we had a great time,bata anaendelea tena this friday kwenye live concert ya DIAMOND stay tuned!
Tidak ada komentar:
Posting Komentar