Kamis, 10 Februari 2011
USEFUL TIPS TO SURPRISE YOUR VALENTINE ON VALENTINE DAY
Valentine day ni siku inayopendwa na watu wengi na kusherekewa ulimwengu mzima.inakuwa kila mwaka wa tarehe14 feb.siku hii ya wapendanao inakujumuisha ndugu,marafiki na wapenzi kushare feels zao kwa njia moja au nyingine kwa kupeana zawadi,cards, maua,kutumiana msg za mapenzi .na nisiku ya watu waliogombana kusamehana na kupatana kwa kuonyesha mapenzi zaidi kwa kusahau tofauti zao.kawaida siku hii husherekewa kwa namna pekee yani mavazi huwa mekundu na mapambo mekundu kuashiria upendo.
chumba kimepambwa na maua kitandani kwa kopa ishara ya upendo
shosties muwafanyie wapenzi wenu suprise kwa kuipamba nyumba kwa mwendo wa red,chumbani,jikoni na mabufu.akiingia atakama ni mtu wa gubu atajisikia haya siku hiyo hatopiga kelele ,ataona my sweetie baby ananijali.
Dinning table unaipamba mwendo wa red na mishumaa ,na hapo utampikia mpenzi wako au familia yako chakula wanachokipenda kwa kuwafanya au kumfanya happy zaidi kwenye valentine day.
Baada ya dinner valentine's day wako unampa cake makopa na roses kama unavyooona full malavi davi ataifurahia bila shaka.
Mshakula na valentine's day wako basi mda wa kumpa zawadi na na maneno madamu ya kimapenzi kumfanya ajisikie vizuri kabisa,kama nyimbo umwimbie na poems umpe u have to feel each other baby girl.
JE ZAWADI GANI ZINAWAFAA (HUBBIES)WAUME
Tips za zawadi ndio hizo za wapenzi,saa,suit,machine ya kunyolea,wallet na perfum.pia unaweza ukatengeneza albamu ya picha zenu tangu mlipo kuatana
kama mshavishana pete au kuoana basi zote unaweka na kumpa kama zawadi na kwa kumpa feedback yenu ya lovely memory mliospend pamoja.
zawadi ya mugs yenye picha yenu hii wanatengeneza sehemu ya kusafisha picha popote unawapa picha na kazi inafanywa au wanawapiga but ukipeleka picha ndio poa zaidi unamsurprise hubby wako,hii nimeipenda zaidi kuliko zawadi zote mana kila asubuhi nipo nae mkononi mpaka kinywaji akinywa chai lol.
NB
STAY TUNED KUJUA UNATAKIWA KWENDA WAPI SIKU YA VALENTINE DAY.
Langganan:
Posting Komentar (Atom)
Tidak ada komentar:
Posting Komentar