Selasa, 30 November 2010

MAOMBI YA VYUO VIKUU VYAANZA LEO NCHINI SWEDEN.

MAOMBI YA VYUO VIKUU YA INTERNATIONAL COURSES  NA PROGRAMMES AUTUMN 2O11 YAMEANZA LEO 1DEC KWA WALE AMBAO WATAKUWA TAYARI KUTUMA MAOMBI
YAO WANATAKIWA WAINGIE STUDERA.NU NA HUMO UTAPATA MAELEZO YOTE NA
MWISHO WA MAOMBI NI TAREHE 17 JAN 2O11,MSISITE WATAARIFU NDUGU JAMAA
NA MARAFIKI KWA WALE WENYENIA  ELIMU HAINYIMWI MTAARIFU MWENZAKO.       
             

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin