skip to main |
skip to left sidebar
skip to right sidebar
WEEK END SWAGG- EVA MAECILLE
S
wagg za week end leo toka kwa Eva simple n lovely.white hair ,pink lipstic na hereni nzuri akabeba na prada clutch,ila hili clutch kama kubwa kama upo nayo outing kama kubwa kuzunguka nayo.
mguu umechorwa katatoo akavalia platform pump ya christian laboutin.
blue dress ipo simple toka kwa designer Naven,hivi ndivyo week end ya eva ilivyokwenda swagg zake zilikuwa blue colour,lovely choice.
Tidak ada komentar:
Posting Komentar