
brad pitt,angelina na watoto wao wakina wanasafiri.

angelina akiwa na mwanae zahara toka ethiopia.

angelina na mmoja wa mapacha wake knox.

brad pitt n angelina walivyoenda haiti kutoa misada.

actress angelina na mmewe brad ,aka angebrad.i luv the couple.
Tidak ada komentar:
Posting Komentar