
PENDEZA NA JUMP SUIT


MITSUKA,PENDO N FRIEND

platform pump ya mchui chui

seguine dress n cut out boots pendeza.


jump suit imepitishiwa na belt kiunoni .

mama na mwanae pendeza,jesca akavaa jump suit ya mgongo wazi na tatoo kwa mbalii


mchui chui alitake over mana kavaliwa kwa kila style.

pendo n fortunato

lace lace nayo ilitamba

studded shoes i luv them

binti wa kiswedish hakuwa nyuma na IBM


Bella alimvaa cut out boots nyeusi kama unavyo mguuni

ukumbi ulijaa lace lace na mnyama,hapa kuna top ya lace n leggings ya lace

fashonista nuru

fredy nice ,makaveri n friend

kwakwel ukumbi ilileta raha kila kona black hakuna rangi nyingine

watu kila pande walifurahi. fredy IBM dj ulipata keep it up baby dj alain



Tidak ada komentar:
Posting Komentar