Teresa scanlan alitwaa taji la miss America 2011 jumamosi iliyopita.Teresa ni binti wa miaka 17 ameweka history kwa kuwa mshindi mwenye umri mdogo na aliveshwa grown na Caresa Cameron ambae alikuwa miss america 2010 baada ya mda wake kuisha.
miss america 2010 alievua grown na kumpa Teresa.
TERESA MISS AMERICA 2011.
Evening wear alipokuwa stage alivaa hivi.
Swimsuit.
aliveshwa grown akiwa amevalia one shoulder.
Kamis, 20 Januari 2011
Langganan:
Posting Komentar (Atom)
Tidak ada komentar:
Posting Komentar