Mrs Obama.
Chantal Biya huyu ni first lady wa Cameroon, huyu mama anajitahidi sana kwenye fashions, ni mbunifu wa mitindoto tofauti ya nywele. Hair style yake anaiita banane, ingawa watu wengi walishaa iongelea kwamba haieleweki kama ni wig au weav na wakaipa jina wigeave, mara nyingi huwa rangi ya brown na nyeusi.
Mrs Biya .
Salma kikwete ni first lady wa Tanzania .huyu ndio ananikosha kabisa mana mavazi yake ni yakiafrica.,anajua kuyapangilia akishona gauni basi na lemba lake, hakuna vazi nilillo lipenda kama aliloshona na kunakshiwa kwa rangi za bendera ya tanzania ,na mara nyingi hufunga lemba kichwani. anapendeza na kuonekana more natural.

Mrs Kikwete.
Tidak ada komentar:
Posting Komentar