Selasa, 29 Maret 2011

MTOTO MCHANGA ATUPWA CHOONI

 Miracle baby katoto kalitupwa chooni huko nchini Haiti na mzazi wake baada ya kuzaliwa,ila mungu alivyo warehema aliokolewa na kukutwa bado yu hai sema alishauguzwa na kinyesi na funza kuanza kumla.Wanawake tunamatatizo gani kama humtaki mtoto kwa nini uilea mimba miezi tisa huu ni ukatili wa hali ya juu jamani. 

 

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin