Senin, 21 Maret 2011

WEPA SEPETU ANASTAHILI ATAFUTE MWANAUME WA MANA

Wema sepetu alishakuwa miss Tanzania 2006.wema ni mdada mzuri kiumbo na ila tabia yake ilishaharibika tangu alipokuwa amevishwa taji la miss tanzania. kubadili wanaume kwa mda mfupi akiwa kwenye mahusiano nao
kibaya zaidi huyu dada ni mzuri mno sioni linalo mtatiza jamani,mpaka anahaha tena na watu wa ajabu ajabu ambao hawaendani na yeye hata kidogo

                                    
    Wema  mama yake kesha jaribu mkanya kwa mara nyingi ila hakusikia.ushauri wa bure wema kaachini tuliza akili ,utapata mpenzi wa mana na kuanziasha familia yenu,achana na mapenzi ya miezi mitatu inakufa wewe ni mwanamke mzuri tu usie staili jirahisisha kama hivi,mwone sinta kaangaika kaona ujinga ivi katulia na mmewe.


                                        
   kwasasa mpenzi wake ni diomond kama unavyowaona

                                                    
                                       Wema na mkwewe mumy diamond

                                   

                                                       
                              Wema enzi zake H baba mapenzi yalikwisha.

                                                   
Kanumba nae hakujiweka nyuma kwa wema,mwisho wa mapenzi yao ilikuwa ugomvi mkubwa mpaka kupelekana polisi.
                                                   
Wema hapa alipendezewa zaidi na jumbe yusufu na wakafunga ndoa ila walishindwana.

                                
wema alipokuwa marekani kimasomo ikasemekana huyu ndio alikuwa mpenzi wake kwa huko marekani ukweli anaujua yeye

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

LinkWithin